Wasanii wasioishiwa vituko Tanzania, Miss Ruvuma 2005 Isabela Mpanda na Luteni Karama wameonekana katika viwanja mbalimbali vya burudani wakipeana mahaba momoto na kudai kuwa wanawakomesha waliotia doa mapenzi yao na kusababisha yasambaratike....
Isabela na Karama ambao waligombana na kutengana kabisa kwa madai kuwa Karama siyo mwaminifu katika
↧