MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Hadija Mohammed,
mkazi wa Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam amekumbana na mkono wa
sheria baada ya kufanya kitendo cha kinyama kufuatia kujifungulia kwenye
ndoo kisha kichanga kukitupa chooni.
Kwa mujibu wa chanzo, mwanamke huyo alikuwa na ujauzito uliotimiza
miezi tisa na kila mtu alikuwa akiuona, lakini ghafla siku ya tukio
baadhi ya ndugu
↧