Inspector Henry akiwasihi
mahabusu hao wawili wanaotuhumiwa kwa kesi za mauaji, kuachia mlingoti
wa Bendera ya Taifa na kurudi kwenye chumba cha mahakama kwaajiri ya
taratibu za kesi.
*********
Matukio ya ajabu yanayofanywa na mahabusu wanaoshinikiza kesi zao
kusikilizwa haraka ikiwa ni mbinu wanazoamini zitasaidia katika kile
wanachoeleza kuwa ni kudai haki zao yanaendelea kuonekana
↧