Wazee wawili akiwemo mlinzi mmoja wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)
ya wilaya ya Bunda, mkoani Mara, wamefikishwa mahakamani kwa kosa la
kulawiti wanafunzi sita wa shule za msingi zilizoko wilayani hapa.
Waliofikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bunda, ni pamoja na Thomas
Machugu (72) ambaye ni mlinzi na mkazi wa mtaa wa Saranga.
Mwingine ni Salum Mfumbasi (66) ambaye ni
↧