MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven
Mengere ‘Stive Nyerere’ ameibuka na kumuonya Wema Sepetu kupiga kazi na
kuepuka umaarufu bila kazi.
Nyerere amemtaka Wema aachane na skendo za kila kukicha kwani hazina
maana kama kazi ya sanaa aliyoichagua kama njia ya kumuingizia kipato.
“Kwanza nampongeza sana Diamond kwa tuzo zote alizopata kwa kuwa
alistahili lakini Wema naye
↧