KIONGOZI wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman
Alikael Mbowe ametangaza baraza lake kivuli, kufuatia ahadi yake ya
hivi karibuni kuwa atalivunja lile la awali, lililokuwa likiundwa na
wabunge kutoka Chadema pekee, ili sasa awajumuishe na wabunge wa vyama
vingine vya siasa kutoka upinzani.
Baraza hilo jipya limetangazwa likiwa na mawaziri vivuli kutoka vyama
vya Chadema, CUF na
↧