Zilipendwa wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul
‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’, amefunguka kuwa hataki kumsikia
mpenzi wake huyo wa zamani kwa madai kuwa amefungua ukurasa mpya wa
uhusiano na mtu ambaye hata hivyo hakuwa tayari kumweka wazi.
Penny alisema hayo hivi karibuni jijini Dar wakati akizungumza na Risasi lililotaka kujua anazungumziaje tuzo saba za
↧