Vijana wasiopungua 45,000 watakaomaliza kidato cha sita
watajiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mujibu wa sheria na
watakaokwepa mafunzo hayo ya miezi mitatu, watashtakiwa.
Mpango huo wa kupitisha JKT wahitimu wa kidato cha
sita na vyuo, ambao ulifutwa mwanzoni mwa miaka ya 90 kutokana na
matatizo ya kifedha na kurejeshwa bila mafanikio ya miaka ya hivi
karibuni, ulilenga
↧