Msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz ameipa ten heshima kubwa
bendera ya Tanzania kwa kuwa kwenye kipengele cha msanii bora wa
Kimataifa [Best International Act ], Hii na hatua kubwa kwa Diamond
baada ya siku chache tu nyuma alitangazwa kwenye tuzo za MTV Base (Mama
Awards).
Diamond Platnumz kwenye kipengele hichi cha tuzo kubwa za Television
kubwa ya burudani Marekani ya BET
↧