Tetesi za chanzo cha mdogo wake Beyonce, Solange kumpiga Jay Z
walipokuwa ndani ya lift zinazidi kuzua ripoti kutoka kwa vyanzo
mbalimbali.
Kwa mujibu wa The New York Daily News, Solange anadaiwa kuwa
alichukizwa na uamuzi wa Jay Z kutaka kuondoka kwenye After Party
waliyokuwepo na Beyonce na Solange Standard Hotel na kutaka kwenda
kwenye after party ya Rihanna bila Beyonce.
↧