Meya wa jiji la Dar es Salaam,Dr Didas Massaburi amesema abiria wataokutwa wakiwa wamepanda Pikipiki maarufu kama Boda boda katika maeneo ambayo pikipiki hizo hazina leseni ya kufanya biashara watakamatwa na kufikishwa mahakamani pamoja na dereva.....
Alisema pia wafanyabiashara wadogo wataokutwa wakifanya biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa
↧