Michael Silanda ( 26 ) mkazi wa kijiji cha Ibindi, tarafa ya Nsimbo wilaya ya Mlele mkoani Katavi amefariki dunia baada ya kunywa pombe ( Viroba ) aina ya Zed kupita kiasi bila kula chakula....
Kamanda wa polisi mkoani Katavi,Kamishna Msaidizi Mwandamizi,Dhahiri Kidavashari amesema tukio hilo limetokea wiki iliyopita majira ya saa sita usiku
↧