Vidonda vya tumbo ni tatizo linalo wasumbua watu wengi duniani . Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, takribani mtu mmoja kati ya watu kumi anasumbuliwa na tatizo la vidonda vya tumbo.
VIDONDA VYA TUMBO NI NINI ?
Kwa lugha nyepesi na yenye kueleweka kwa kila mmoja, vidonda vya tumbo ni majeraha ndani ya tumbo yanayo
↧