$ 0 0 Mdau unalichukuliaje suala la mtu kuvaa T- shirt yenye maandishi ambayo hayaendani na yeye au yenye maneno makali hata yakiwa katika lugha si ngeni? Je mtu akivaa T-shirt ya namna hiyo na hajui maana ya maneno anastahili lawama? <!-- adsense -->