Jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana huu upweke sasa
unaelekea kuniua… Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka jana
ikiyopoteza maishaa yake…
Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji kurudi
sawa Nimechoka kukaa peke yangu upweke noma sana…Nataka mtu Mstaarabu,
Mpole kiasi , Mchapa Kazi mwenye Kupenda Maendeleo…
Kama Vipi wacha e-mail yako ama number ya simu…ntaamua yupi
↧