NA SAMSON CHACHA,Gazeti la Uhuru, TARIME
MKAZI wa Kijiji
cha Nyamwaga wilayani hapa mkoani Mara, Mbusiro Muyuyi, ameuawa kwa
kukatwakatwa kwa panga kichwani na shemeji yake.
Mauaji hayo
yaliyowashitua wengi wilayani hapa, chanzo chake ni mbwa wa mtuhumiwa,
Mwita Muyuyi (17), kula mayai ya kuku wa marehemu.
Habari za
kuaminika zimesema kuwa, Mbusiro (45), alimtuhumu shemeji yake
↧