Tangu wasichana 276 wa Nigeria walipotekwa nyara na kundi la Boko
Haram, watu mbalimbali maarufu duniani wamepost picha kwenye mitandao ya
kijamii wakiwa na mabango yaliyoandikwa ‘Bring back Our Girls’,
ikimaanisha wanajiunga na kampeni ya raia wa Nigeria.
Mwana mitindo Irina Shayk ambaye ni mpenzi wa mchezaji wa mpira wa
miguu Christian Ronaldo yeye amepost picha kwenye twitter
↧