MWIMBAJI nyota
wa zamani wa bendi mbalimbali nchini ikiwamo Double M Sound, African
Revolution 'Wana Tamtam', Amina Ngaluma 'Japanese' amefariki dunia akiwa
nchini Thailand baada ya kupatwa na uvimbe kichwani.
Mpaka mauti
yanamfika, Amina alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Jambo Survivors. Msiba
upo Kipunguni B, Machimbo jijini Dar es Salaam
<!-- adsense -->
↧