Mahakama nchini Sudan imemuhukumu kifo mwanamke mmoja anayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanaume mkristo.
Daktari Mariam Yahya Ibrahim Ishag
ambae baba yake ni muisilamu alishitakiwa kwa kosa la kuasi dini pamoja
na kufanya zinaa kwa kuolewa na mwanamume mkristo kitu ambacho dini ya
kiisilamu imeharamisha kwa Wanawake.
BBC wamesema Mariam mwenye umri wa miaka 28 pia ni
↧