Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa tangu aanze kujihusisha na masuala ya mapenzi hajawahi kulia.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper ambaye ana muonekano wa
‘kigumu’, alisema siku zote anaamini katika kupambana hivyo hawezi
kumlilia mwanaume hata iweje.
“Sijawahi kulia pale nilipoachwa wala kuachana na mwanaume, akili yangu
yote inaamini katika
↧