Mazishi ya muongozaji na msanii wa filamu Adam Kuambiana yatafanyika
Jumanne (May 20) katika makaburi ya Kinondni jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Mpekuzi, mwenyekiti wa bongo movie ,Steve Nyerere
amesema kuwa marehemu ataagwa Leaders Club siku hiyo hiyo kabla ya
mazishi.
“Habari za mazishi ni kwamba atazikwa siku ya jumanne na tutazika
katika makaburi ya Kinondoni, kuagwa
↧