Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, Augustine Mrema (MB, Vunjo, TLP) amependekeza askari polisi
wapewe asilimia 10 ya thamani ya mali wanayokamata ili iwe kichocheo cha
kufanya kazi kwa bidii na kuacha kuomba na kupokea rushwa.
Pia, alishauri askari kuongezewa posho kutoka shilingi 5,000 ya sasa
mpaka 7,500/= kwa sababu fedha hiyo ya
↧