Ni siku chache tu zilizopita toka Diamond Platnumz ametangazwa kuwania
tuzo za kituo cha Television cha Marekani BET akiwa ni msanii pekee
kutoka Afrika Mashariki kuchaguliwa kuwania tuzo hiyo huku wengine
wakitoka Nigeria, Ghana na Togo. (Best International Act: Africa )
Habari njema ni kwamba katika mchakato wa kura sasa hivi Diamond anashika
nafasi ya Kwanza katika list ya
↧