Gasto Edward (32) amemkata mkewe Mwelu Raymond sehemu zake za siri. Tukio hilo
lilitanguliwa na kumpiga mkewe huyo na kipande cha nondo kichwani hali
iliyosababisha apoteze fahamu papo hapo na kutekeleza azma yake.
Bwana Gasto Edward na mkewe ambaye anadaiwa kumkata nyeti zake.
Imeelezwa kuwa, tukio hilo lenye sura ya majonzi, lililovuta hisia za
watu wengi lilitokea Jumatano ya
↧