Msiba wa mtoto Nasra Mvungi (4),
aliyeteswa kwa kufungiwa katika boksi kwa miaka minne, ambako ndiko
alikokuwa akipewa chakula, kwenda haja kubwa na ndogo na kulala, imeibua
simanzi jijini Dar es Salaam, Morogoro na katika maeneo mbalimbali nchini.
Jana
taarifa za kufariki kwa Nasra aliyekuwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi
katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zilisambaa
↧