Mwili wa mjumbe wa bunge maalumu la katiba, Shida Salum (54), aliyefarki dunia jana katika hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam utazikwa leo saa tisa alasiri katika kijiji cha Mwanga, Kigoma Mjini.
Shida ambaye pia ni mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CHADEMA, Zitto Kabwe alifariki jana saa tano asubuhi katika hospitali ya
↧