Mwili wa
mwongozaji na mtayarishaji wa filamu nchini, George Tyson utaagwa katika
Viwanja vya Leaders na baadaye utasafirishwa kwenda nchini Kenya kwa
mazishi.
Awino Felix
Akizungumzia taratibu za mazishi, Awino Felix ambaye ni mdogo wake marehemu Tyson alisema wanatarajia kuusafirisha mwili huo Jumatano ya June 3 kwenda Nairobi Kenya baada ya kuagwa
↧