Waheshimiwa
Wabunge na Baadhi ya Viongozi wakibeba Jeneza lililobeba Mwili wa
Marehemu Mama Yake Zitto Kabwe Bi Shida Salum na kuuingiza kwenye ndege
Tayari kwa safari ya kwenda Kigoma Kwa mazishi....
Ndege ikiandaliwa ili kuweza Kuingiza Mwili wa Marehemu Mama yake Zitto Kabwe
Zitto
kabwe akiwa na Prof Ibrahimu Lipumba wakati wa kuuaga Mwili wa mama
yake kipenzi Bi Shida
↧