Mtu mmoja amepigwa risasi zisizojulikana idadi yake na kupoteza
maisha katika eneo la Clock Tower Jijini Arusha na majambazi ......
Majambazi hao walikuwa wakipora kwenye Bureau Change iitwayo Nothern
ambapo marehemu alikuwa akipita jirani na eneo hilo na alipowaona
alipiga kelele ndipo akafyatuliwa risasi kadhaa na kupoteza maisha.
<!-- adsense -->
↧