Kijana mmoja mkazi wa kijiji cha Nyambogo wilayani Rorya mkoani Mara,
ambaye anadaiwa kupotea nyumbani kwa imani za kishirikina hatimaye
amepatikana huku akiwa katika hali ya kutisha bila kujitambua na mwili
wake ukiwa umejaa tope jingi, tukio ambalo limevuta mamia ya wananchi wa
kijiji hicho.
Kijana huyo Kenedy oguko mwenye umri wa miaka 22
amekutwa nje ya nyumba yao asubuhi ya
↧