Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za
mwisho katika Kanisa la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es
salaam wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Ernesti B. Ngereza, aliyekuwa
mfanyakazi wa Ikulu aliyefariki dunia Mei 5, 2014, kabla ya mwili huo
kusafirishwa kwenda nyumbani kwa marehemu Lushoto, Mkoani Tanga Ijumaa
Mei 6, 2014.
Rais
↧