Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amelazwa hospitalini kwa uchunguzi
wa afya , atapumzika kwa muda ingawa ataendelea na majukumu akiwa nyumbani.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa maafisa kutoka kwa ofisi yake. Taarifa
hiyo ilisema kuwa Zuma atalazimika kumpumzika kwa muda ingawa ataendelea
na majukumu yake ya kitaifa akiwa nyumbani.
“Hapo jana Ijumaa Rais Zuma alishauriwa kupumzika
↧