Mbunge Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Samwel Nassari amefunga
ndoa na Anande Nko kwenye Kanisa la Pentekoste lililopo Kilinga, Arumeru
jijini Arusha ikifuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika Viwanja
vya Usa-River Academy jirani na Hoteli ya Ngurdoto.
Sherehe
hiyo ilianza mishale ya saa 7:00 mchana siku ya leo ambapo watu wote
walialikwa wakiwemo ndugu, marafiki, jamaa
↧