Kwa mara ya kwanza katika historia, sala na mafundisho
kutoka kwenye Quran yatasikika Vatican Jumapili, ambako ni makao makuu
ya kanisa katoliki duniani.
Uamuzi huo umefanywa na Papa Francis ikiwa ni hatua ya kutengeneza mazingira ya amani kati ya waisrael na wapalestina.
Kiongozi huyo wa kanisa katoliki duniani aliwaalika rais, Shimon
Peres na rais wa Palestina Mahmoud Abbas kwenda
↧