June 05 2014 mchana kupitia mitandao mbalimbali Tanzania zilisambaa
taarifa zikimuhusu mmiliki wa mojawapo ya nyumba maeneo ya Sakina jijini
Arusha kwamba nyoka aliyekua akimfuga kwa siku nyingi na kuhusishwa na
imani za kishirikina, ameuwawa na Wananchi.
Wananchi
walimuua nyoka huyo na kisha kumkata kata vipandevipande ambapo baada
ya hizi taarifa kusambaa mmiliki wa nyumba hii
↧