Sitaki tena....Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na kauli ya nyota wa filamu za kibongo Mirium Jolwa "Jini Kabula" ambaye amedai kuwa kwa sasa hataki kusikia mapenzi ya pesa na kama kuna mwanaume anayemtaka basi amfuate nyumbani na si kuitana baa.....
Kabula alisema kuwa wanaume wengi wamekuwa na tabia ya kuitana baa huku wakihisi kuwa kila
↧