Makundi mengi ya vijana ndani ya mtandao wa facebook yamekuwa na imani kuwa msanii Rehema Chamila anaweza kuwa mtetezi wao mkubwa endapo ataamua kuingia kwenye siasa...
Vijana hao wanaamini kuwa Ray C kwa sasa amepitia changamoto nyingi hivyo wanaamini kama akipewa nafasi ya kuingia bungeni inaweza kuwa chachu ya yeye kupigana na watu
↧