Ndugu Wananchi,
Tuna wajibu mkubwa wa kumshukuru Mwenyezi
Mungu kwa kutupa afya na uzima tukaweza kujumuika leo hii. Napenda
kutoa shukurani zangu za dhati kwa viongozi wa Kanisa la Anglikana wa
Dayosisi ya Zanzibar na waumini wote wa Kanisa hili kwa kunialika kuja
kuungana nanyi katika uzinduzi wa kongamano la kumuenzi Dk. David Livingstone kwa kutambua mchango wake katika kukomesha
↧