Mwigizaji maarufu nchini Marekani ambaye pia ni mchekeshaji,
mwandishi wa muswada na mwongozaji wa filamu, Marlon Wayans anatarajiwa
kuwa msanii mkubwa atakayeongoza jukwaa katika hafla ya ugawaji wa Tuzo
za MTV Africa Music Award 2014 zikatakazo tolewa leo jijini Durban
Kwazulu - Natal nchini Afrika Kusini.
Hafla ya utoaji wa tuzo itafanyika katika Ukumbi wa Durbun
↧