WANANCHI wa Jimbo la Monduli wilayani Monduli mkoani Arusha wametakiwa kuwang’oa madarakani viongozi wa vijiji wanaoshiriki kinyume na utaratibu kuuza ardhi bila ya kufuata utaratibu kwa kuendekeza zawadi ya bia na nyama choma.
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa mara baada ya kuzindua bwawa la maji la Leken lililopo Kijiji cha Selela, Kata ya Selela
↧