Mamia ya wasichana waliotekwa na kundi la Boko Haram nchini Nigeria wanadaiwa kuonekana wakioga na kuwapikia wanamgambo wa kundi hilo.
Aidha taarifa zinaeleza wengi wa wasichana hao wanashikiliwa katika kambi tatu tofauti nje ya Nigeria.
Mmoja wa viongozi wanaohusika katika majadiliano ya kutaka wasichana hao waachiliwe huru, Dk Steven Davis alikaririwa na Shirika la Utangazaji
↧