Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amepeleKa ‘msiba’ Chadema, baada ya kusomba wanachama wa chama hicho wanaosoma katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (Saut), tawi la Mwanza, wakiongozwa na Rais wa Serikali ya Wanafunzi (Sautso), Philbert Saimon.
Wanachama hao wa Chadema waliamua kuhama chama hicho jana, katika mkutano wa hadhara uliofanyika
↧