Sakata la kusambaa picha zisizokuwa na maadili mitandaoni zikiwemo za
watu maarufu hapa nchini leo limezungumziwa tena katika bunge la
Tanzania kule Dodoma ambapo katika kipindi cha maswali na majibu Mhe.
Habib Mnyaa ameonekana akihoji serikali inachukua hatua gani juu ya watu
wanaotuma picha zao zisizo na maadili mitandani zikiwemo za kina Wema
na Diamond wanazopiga wakiwa chumbani na
↧