Waombolezaji mbalimbali kwa sasa wamejumuika nyumbani kwa marehemu
Said Ngamba 'Mzee Small' eneo la Tabata, Mawenzi jijini Dar wakisubiri
utaratibu wa mazishi ya msanii huyo mkongwe aliyefariki dunia usiku wa
kuamkia Jumapili.
Mwili wa marehemu utazikwa leo saa 10 jioni katika makaburi ya Segerea, Dar.
(Credit: Global Publisher)
↧