Kelele za vilio jana zilisimamisha kwa muda shughuli katika
Wodi ya Wanawake ya Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam baada ya
mama mzazi wa msichana, Yusta Lucas (20) anayedaiwa kuteswa kwa
kung’atwa na kuchomwa kwa pasi mwili mzima kumwona mwanawe kwa mara ya
kwanza.
Zilikuwa dakika 10 ngumu kwa mama huyo, Modesta
Simon kuamini hali aliyomkuta mwanaye aliyelazwa hospitali hapo
↧