Mke halali wa Rais wa bendi ya mashujaa musica Charles Gabriel Cyprian 'Chaz Baba', Rehema Sospeter Marwa mwishoni mwa wiki jana alizua timbwili la mwaka baada ya kumchapa makofi msichana mmoja ajulikanaye kwa jina la Husna....
Tukio hilo lililoshuhudiwa na mwandishi wetu lilitokea majira ya saa nane za usiku katika ukumbi wa Letas ( zamani
↧