Kukamatwa kwa baadhi ya watanzania katika nchi mbalimbali wakihusishwa na ubebaji wa dawa za kulevya kumeathiri idadi kubwa ya wasafiri wanaotumia hati ya kusafiria ya Tanzania kutokana na kukaguliwa kupita kiasi....
Mmoja wa waathirika wa ukaguzi huo ni Miss Tanzania wa mwaka 2001, Happines ( Millen ) Magese ambaye alisema kukamatwa kwa
↧