Diamond Platinumz alikuwa mshiriki kwenye kinyang’anyiro cha tuzo za MTV
MAMA mwaka huu na kwa bahati mbaya hakushinda tuzo katika vipengele
vyote viwili alivyokuwa akiwania.
Msanii mkongwe Profesa Jay ambaye anakumbukwa kwa kufanya mapinduzi
kwenye muziki na kuwashawishi wazazi kuwaruhusu watoto wao kuimba
kupitia kazi zake, amemuandikia ujumbe Diamond kupitia Instagram.
“Hapo
↧