Jana June 9 Nay wa Mitego alisharehekea siku yake ya kuzaliwa ikiwa ni mwaka wake wa mafanikio zaidi katika muziki.
Nay ameweka wazi kuwa amefikisha umri wa miaka 29 na kwamba ameamua kufanya birthday party kwa mara ya kwanza tangu azaliwe, na pia
amejinunulia zawadi ya gari la kifahari lenye thamani ya shilingi
milioni 36. Kibongobongo ni pesa ndefu.
“Nimejinunulia gari aina ya
↧