Wapiganaji wanaoshukiwa kuwa wanachama wa Boko Haram
wamewateka nyara wanawake 20 kutoka jamii inayohamahama Kaskazini
Mashariki mwa Nigeria.
Wanawake hao walichukuliwa katika Makazi ya
Gakini Fulani karibu na mji wa Chibok ambako zaidi ya wasichana
wanafunzi 200 walitekwa nyara Aprili, mwaka huu.
Walioshuhudia tukio hilo walisema
kuwa wapiganaji hao waliokuwa wamejihami kwa
↧